The House of Favourite Newspapers

DJ Khaled Aachia Video ya ‘WILD THOUGHT’

0

MWANAMUZIKI maarufu wa Marekani, DJ Khaled, ameachia video ya wimbo wake wa Wild Thought aliyompa shavu Rihanna  na Bryson Tiller.

Track hiyo ambayo Bryson Tiller amevaa viatu vya Chris Brown  awali ndiye aliyetakiwa kuwepo lakini kwa bahati mbaya ikashindika na video imeshutiwa pande za Miami, Florida, Marekani.

DJ Khaled anatarajia kuachia albam yake wiki ijayo na ngoma hiyo ya Wild Thought itapatikana ndani ya albam hiyo.

Na Isri Mohamed|GPL

Leave A Reply