The House of Favourite Newspapers

MPYA: DJ Khaled Feat. Beyonce & Jay Z – Shining (Audio)

Kama wewe ni shabiki wa ngoma za Hip Hop basi hii inakuhusu moja kwa moja. Mpya ya leo inatoka kwa DJ, Producer na rapper kutoka Marekani DJ Khaled anaeileta kwetu ngoma yake ya kwanza kwa mwaka 2017 ‘Shining’ akiwa ameshirikisha Jay Z na Beyonce.

Wimbo huu umeandikwa kwa ushirikiano na PARTYNEXTDOOR na ni moja ya ngoma zitakazopatikana kwenye album ya kumi (10) ya DJ Khaled iliyopewa jina ‘Grateful‘.

Kama bado haijakufikia kuwa wa kwanzakuisikiliza ngoma hiyo hapa chini.

MPYA: DJ Khaled Feat. Jay Z & Beyonce – Shining

 

Comments are closed.