Dk Fadhili aahidi zawadi wasomaji magazeti pendwa

Fadhili-Emily2Mwandishi Wetu

DAKTARI wa Kitengo cha Sayansi na Tiba Asili kilichopo Mbezi-Afrikana, Dk. Fadhili Emily amewaambia wasomaji wa magazeti pendwa wakae mkao wa kula kwani anatarajia kutoa zawadi zaidi.

Akizungumza na gazeti hili, daktari huyo anayedhamini Chemsha Bongo ya Flat Screen katika gazeti dada na hili la Amani, alisema anafurahishwa na habari zinazoandikwa na magazeti Pendwa ya Global Publishers kwani zinagusa jamii hivyo mchango wake kwa wasomaji ni zawadi mbalimbali.

“Nimeanza na Flat Screen lakini na magazeti mengine ya Global wajiandae,” alisema Dk. Fadhili.

 

Loading...

Toa comment