Dk. Hellen Kijobisimba apata ajali
Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk. Hellen Kijobisimba
Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk. Hellen Kijobisimba amepata ajali mbaya leo jijini Dar na kukimbizwa hospitali kwa matibabu.
Gari alilopata nali ajali Dk. Kijobisimba.
Dk. Kijobisimba amepata ajali akiwa kwenye gari aina ya Toyota Land Cruiser V8 yenye namba za usajili T 336 CTT.