The House of Favourite Newspapers

Dkt. Mwaka Aibuka na Gigy Money (Video)

0
Gigy Money na Dk. Mwaka.

BAADA ya ukimya wa muda mrefu, aliekuwa mmiliki wa Kituo cha Tiba Asili cha Fore Plan, Dk. Mwaka ameibuka live akiwa na Msanii wa Bongo Fleva Gigy Money katika Kipindi cha Beauty and Styles cha Global TV Online.

Kipindi hiki kinachohusu masuala ya urembo kiliwakutanisha Dk. Mwaka na Gigy Money kushiriki katika kipindi hiki kutokana na uzoefu wa utaalamu wa maswala ya Urembo alionao Dk. Mwaka.

Leave A Reply