The House of Favourite Newspapers

Dkt. Nchimbi Ashiriki Kikao Cha Baraza Kuu la UVCCM

0

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi leo ameshiriki kikao cha kawaida cha Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) na mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza Kuu. Kikao hicho kilichoongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Komredi Mohammed Ali Mohammed (Kawaida), kimefanyika katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), jijini Dodoma.

Leave A Reply