Dkt. Philip Mpango ameongoza Kikao cha Kamati ya Maendeleo ya Jamii ya Baraza la Mawaziri
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ameongoza Kikao cha Kamati ya Maendeleo ya Jamii ya Baraza la Mawaziri kilichofanyika katika Ukumbi wa Kambarage Treasury Square Jijini Dodoma tarehe 04 Novemba 2024.