The House of Favourite Newspapers

Dogo Janja Amzimia Vee Money

0
Mkali wa Ngoma ya Ngarenaro, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’.

MKALI wa  Ngoma ya  Ngarenaro,  Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’,  amefunguka kuwa  hakuna mwanamuziki wa  kike Bongo anayemzimia  kama Vanessa Mdee  ‘Vee Money’ kutokana na  swagga zake.

  Vanessa Mdee ‘Vee Money’

Dogo Janja ambaye  amekuwa akihusishwa  kuwa kwenye uhusiano  wa kimapenzi na  muigizaji Uwoya madai  ambayo ameyakana  na kudai yeye ana  mwanamke wake  ambaye hayupo kabisa  kwenye sanaa aliongeza  kuwa, Vee humkosha  zaidi na wakati mwingine  anatamani mastaa wa  kike Bongo wangekuwa  wanavaa kama yeye.

“Kiukweli huwa nazimia  sana swagga za Vee  Money, anajua kupendeza  na kuna wakati huwa  natamani mastaa wa kike  wote wavae na kutupia  pamba kama yeye,”  alisema Dogo Janja.

 

Leave A Reply