Dogo Janja – Wayu Wayu (Official Video)
MSANII wa Bongo Fleva, kutoka lebo ya Tip Top Connection, Dogo Janja ameachia video mpya ya ngoma yake iitwayo Wayu Wayu. Video imeongozwa na Director By Nisher huku Audio ikigongwa na Daxo Chali & Marco Chali.
Kutazama ngoma hii kwa urahisi zaidi na video zote mpya za Bongo Fleva na Mamtoni, Install #GlobalPublishersApp Android: ==>http://bit.ly/2AAQe1d iOS: ==>http://apple.co/2Assf4M kisha ingia kwenye MENU ya GLOBAL MUSIC.
Comments are closed.