Dora Amtamani Tausi

MKALI wa Tamthiliya Bongo, Wanswekula Zakaria ‘Dora’, ametoa la moyoni baada ya kupata taarifa za mwigizaji mwenzake, Tausi Mdegela kupata mtoto ambapo amesema anamtani.

 

Dora ameiambia Over Ze Weekend kuwa, kwa upande wake anatamani na yeye kuwa na mtoto kama Tausi.

 

“Nampongeza sana rafiki yangu Tausi kwa kuitwa mama, lakini pia hata mimi natamani kuwa kama yeye,” amesema Dora ambaye naye ana umbo dogo kama Tausi.

KHADIJA BAKARI


Loading...

Toa comment