Utaupenda Wimbo Mpya Wa Aslay, ‘Natiririka’

 

Utafurahi na kuupenda baada ya kuusikiliza wimbo mpya toka kwa Aslay unaitwa Natiririka.

 

Audio imefanywa na Zest toka moja moja records.Isikilize na ku download chini kabisa audio kama umeipenda.

 

SIKILIZA AUDIO HAPA

DOWNLOAD AUDIO|MP3


Loading...

Toa comment