Kumbuka Ampa Makavu Niffer “Jishikilie Kila Sehemu Upo” – Video
Mtangazaji na staa wa mitandaoni, Dokta Kumbuka amesema siku mwanadada mfanyanyabiashara, Niffer alipomtuma bodaboda kwenda kununua gauni kwa Fahyma kabla ya muda mfupi na yeye kutangaza kuanza kuuza magauni hayo kwa bei ya chini, alikuwepo na alishuhudia mchezo mzima.