Dr Slaa: Sina Chama Nasimamia Upande Wa Haki, Sitaacha Siasa Mpaka Naingia Kaburini – Video
Katibu Mkuu Mstaafu na Aliyewahi kuwa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbroad Slaa amesema hataacha kujihusisha na siasa mpaka anaingia kaburini.
Amesema katika nchi zilizoendelea, wanasiasa wakongwe kama yeye, hutumiwa kusimamia uchaguzi kwa sababu hawaegamii upande wowote.
Dk. Slaa amefunguka kupitia Exclusive Interview aliyofanya na Global TV.