The House of Favourite Newspapers

DRAKE AZIDI KUPAGAWISHWA NA MUZIKI WA NIGERIA


MWANAMUZIKI wa  Nigeria, D. Niniola,  ameonyesha furaha ya pekee baada ya staa wa  Toronto nchini Canada,   Dreezy Drake, kum-follow kupitia kurasa yake ya Instagram..

Hit maker huyo wa ngoma ya Maradona alishindwa kabisa kuzuia furaha yake na kuamua kupost insta kuhusu tukio hilo…

“Hebu fikiria umeamka asubuhi na kugundua Drake ameku-follow!!!!! Na mm nimemfollow back haraakaaa”.

Bado ana-suprise nyingine mbele yake baada ya rapa huyo toka Canada kure-quest ngoma yake kwenye Radio show huko Uuingereza  kwenye shoo ya BBC 1xtra.

Niniola kafurahi sana kwa tukio hilo.

Comments are closed.