The House of Favourite Newspapers

Droo ya Pili ya Airtel Mkwanjika Promosheni

0

PICT 1Meneja Uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando (wa pili kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kuendesha droo ya pili ya promosheni ya Airtel Mkawnjika ambapo washindi 28 kutoka katika mikoa mbalimbali walipatikana. Akishuhudia ni balozi wa Airtel Mkwanjika na mtangazaji wa kipindi cha planet Bongo cha EATV Abdallah Hamisi Ambua (kushoto) akifuatiwa na msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini , Mrisho Milao (wa pili kulia) na Afisa Masoko wa Airtel Bi Rebecca Mauma (kulia).
PICT 3Balozi wa Airtel Mkwanjika na mtangazaji wa kipindi cha planet Bongo cha EATV Abdallah Hamisi Ambua (kulia) akiongea na moja ya washindi kupitia simu ya mkononi wakati wa kuendesha droo ya pili ya promosheni ya Airtel Mkawnjika ambapo washindi 28 kutoka katika mikoa mbalimbali walipatikana. Akishuhudia Msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini , Bwana Mrisho Milao (kushoto) na Afisa Masoko wa Airtel Bi Rebecca Mauma (katikati).

Leave A Reply