The House of Favourite Newspapers

Dude Jipya la Barakah The Prince – Sometimes (Official Video)

0

MKALI wa Bongo Fleva katika maudhui ya RnB, Barakah The Prince ameachia dude la video ya ngoma yake mpya iitwayo Sometimes’ ambayo imtengenezwa chini ya Lebo ya Bana Music inayomilikiwa na mkali huyo.

Ngoma hiyo imeandaliwa na producer T-Touch. Icheki hapa.

Leave A Reply