The House of Favourite Newspapers

Duh! Trafiki Mpenda Rushwa Yamkuta Nyumbani Kwake (Comedy)

0

Global Comedy inaendelea kupasua anga ambapo safari hii, Anko Oga na wapwa zake wamezua jipya. Hii ni baada ya anko wao huyo, ambaye anasifika kwa kupenda rushwa kwenye kazi yake ya utrafiki, kuendeleza mchezo huo mpaka nyumbani ambapo mwanaye mmoja asiyependa kufanya homework, amekuwa akinusurika na kichapo cha anko wake huyo, kwa kuwa huwa anamuwekea rushwa kwenye madaftari.

Leave A Reply