Kartra

Dulla Mbabe Asimulia Historia Yake – “Sijasoma Kabisa, Nimebeba Sana Mkaa”-Video

HII ni sehemu ya kwanza ya mahojiano ya Global TV na Bondia Dulla Mbabe, ambapo ameelezea historia ya maisha yake kwa ujumla kuanzia kuzaliwa, kusoma hadi akaingia kwenye kazi ya ubondia ambayo imempa mafanikio makubwa.


Toa comment