Bondia Dullah Mbabe wa nchini jana alimtwanga kwa TKO raundi ya tatu, bondia wa Malawi, Felix Mwamaso, katika pambano lililokuwa lipiganwe kwa raundi kumi katika Uwanja wa Taifa wa Ndani jijini Dar.
Mwamaso alionekana kuzidiwa na Dullah kuanzia raundi ya kwanza ambapo aliangushwa mara kadhaa.
PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS / GPL
Comments are closed.