Dullah Mbabe Apokea kichapo cha KO katika raundi ya nne mbele ya Mwingereza Callum Simpson
Bondia Mtanzania Dullah Mbabe usiku wa kuamkia leo Aprili 1, 2024 amepokea kichapo cha KO katika raundi ya nne mbele ya Mwingereza Callum Simpson.
Pambano lilikuwa la raundi 10