The House of Favourite Newspapers

EASY MAN “Simuogopi Mzee wa BWAX” – Video

MWANAMUZIKI  wa miondoko ya Singeli, Easy Man, anayetamba hivi sasa na kibao chake cha Ndombolo, amepiga stori na Radio yako Pendwa ya Mtandaoni, +255 Global Radio, na kusema kuwa hamuogopi mwanamuziki mwenziye anayetamba kwa sasa na ngoma yake ya Kisimu Changu Laini Mbili, Mzee wa Bwax, kwani yeye ana ngoma nzuri na zinazopendwa kuliko hiyo.

Comments are closed.