The House of Favourite Newspapers

EPL: Chelsea Yatoshana Nguvu na Man United

0

Mchezo kati ya Chelsea na Manchester United uliopigwa katika Dimba la Stamford bridge umemalizika kwa sare ya bila kufungana.

 

 

Kwa matokeo hayo Chelsea inaendelea kusalia katika nafasi ya 5 ikiwa na alama 44, huku Manchester United ikiendelea kuwa nafasi ya pili ikiwa na alama 50.

 

 

Matokeo ya michezo mingine ya awali, Crystal Palace imetoka sare ya kutokufungana na Fulham, Leicester City ikipigwa goli 3-1 na Arsenal huku Tottenham Hotspur ikiiadhibu Burnley goli 4-0.

Leave A Reply