Eric Shigongo Afika Msibani Kumuaga Mwili wa marehemu Grace Mapunda – Video
Eric Shigongo, Mbunge wa Buchosa, ni miongoni mwa waombolezaji waliohudhuria kwenye shughuli ya kuagwa kwa mwili wa marehemu Grace Mapunda.
Alipopewa nafasi ya kutoa salamu, Shigongo mbali na mambo mengine, ameeleza kuwa Grace alikuwa mpenzi wake na amemuachia watoto ambao atawalea.