The House of Favourite Newspapers

Eric Shigongo Alipopeleka Misaada kwa Waathirika wa Mvua, Ruangwa

0

Shigonngo na Majaliwa (1) Waziri Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, Kassim Majaliwa (kushoto) akimkaribisha Eric Shigongo kuzungumza na Wanakijiji wa Mtondo wilayani Ruangwa ambao walipatwa na maafa ya mafuriko hivi karibuni.Shigonngo na Majaliwa (2) Kassim Majaliwa akinena na Eric Shigongo.Shigonngo na Majaliwa (3) Eric Shigongo akiwasalimia Wanakijiji wa Mtondo.Shigonngo na Majaliwa (4) Kassim Majaliwa akisisitiza jambo.Shigonngo na Majaliwa (5) Eric Shigongo akizungumza na Wanakiji wa Mtondo, wilayani Ruangwa.Shigonngo na Majaliwa (6)Eric Shigongo na akiendelea kuzungumza wa Wanakijiji hao, kuwapa pole kwa maafa yaliyowakumba.

Ruangwa (4)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea msaada wa vyakula na nguo kutoka kwa Mwenyekiti wa Watu Waliojitotelea Kusaidia Waliopatwa na Maafa ya Mvua Katika Kijiji cha Mtondo wilayani Ruangwa, Eric Shigongo wakati Waziri Mkuu alipokwenda kijijini hapo kuwapa pole  Februari 28, 2016.

Leave A Reply