The House of Favourite Newspapers

Eric Shigongo Ateuliwa Kuwa Mjumbe wa Kamati ya Kuisadia Maandalizi ya Serengeti Boys

Waziri wa Habari, Vijana, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amemteua Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers, Eric James Shigongo kuwa mjumbe wa Kamati ya Kutoa Hamasa ili Kusaidia Maandalizi ya Serengeti Boys.

Kamati hiyo inaundwa na watu wafuatao;

Mwenyekiti -Charles Hillary

Katibu -Mwesigwa Selestine

Wajumbe ni;

-Eric Shigongo

-Beatrice Singano

-Ruge Mutahaba

-Maulid Kitenge

-Hassan Abbas

-Hoyce Temu

-Ali Kiba

-Nassib Abdul ‘Diamond Platinumz’.

Comments are closed.