The House of Favourite Newspapers

Esma Platnumz Afunga Ndoa na Mpenzi wake Rashid Shaibu ‘Jembe One’ – Video

Mwanamama maarufu kwenye mitandao ya kijamii (sosholati) na dada wa staa wa muziki nchini Tanzania, Diamond Platnumz, ESMA Khan au Esma Platnumz amefunga ndoa na mpenzi wake Rashid Shaibu ‘Jembe One’ Feburuari 22, 2024 katika Msikiti wa Masjid Akram uliopo Mbezi Beach, Dar es Salaam.