ESTER YEYE NA PESA TU, MAPENZI TUPA KULE!

KATIKA kipindi hiki kigumu, mwigizaji sexy wa Bongo Movies, Ester Kiama, kwenye kichwa chake hawazi kabisa mapenzi, badala yake anawaza ni jinsi gani atapiga pesa ili kuyamudu maisha.

 

Akizungumza na gazeti hili, Ester alisema kuwa, huko nyuma mapenzi ndiyo yalikuwa mstari wa mbele, lakini kwa sasa, hakuna kitu kama hicho na wakati mwingine hana wivu kabisa kwa sababu anajua mapenzi hayana nafasi tena.

 

“Maisha yamewafanya watu wasahau kama kuna kitu kupenda au kupendwa kwa sababu kila mtu anasaka maisha yake ili yaende vizuri,” alisema Ester.

Stori: Imelda Mtema, Dar

Loading...

Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment