The House of Favourite Newspapers

Eti Mzee Abdul si Baba Mzazi wa Diamond? Mwenyewe Atoboa Siri – Video

0

IKIWA ni siku chache baada ya msanii Diamond Platinum kutoka nyumbani kwao Mkoani Kigoma ambako alifanya Bonge la Shoo, tetesi zilianza kusambaa kwamba Mzee Abdul Jumaa ambaye wengi wanamfahamu kuwa jua ndiye baba mzazi wa Diamond, eti siye baba yake mzazi, bali ni baba mlezi.

 

Tetesi hizo ziliendelea kudai kuwa Baba mzazi wa Diamond alishafariki siku nyingi wakati msanii huyo akiwa mdogo. Sisi tukasema isiwe kesi, Global TV Online imempata Mzee Abdul mwenyewe ambaye amefunguka ukweli wote na kuweka wazi kilicho nyuma ya pazia.

Tazama Full video

Leave A Reply