Europa League Kukupatia Mkwanja leo
Ligi ya EUROPA imerejea leo ambapo timu kibao kushuka dimbani kusaka pointi 3. Na wewe leo hii una nafasi ya kuibuka bingwa ukibashiri na Meridianbet. Ingia sasa na ubashiri.
Lazio Rome kutoka kule Italia watakuwa wakimenyana dhidi ya Ludogorets ambao wana pointi 1 hadi sasa. Mwenyeji yeye ndiye kinara kwenye msimamo wa Europa wakiwa wameshinda mechi zote. Nani unamdhamini akupatie pesa leo?. Mechi hii ina ODDS 1.30 kwa 10. Bashiri sasa hapa.
Real Sociedad watamenyana dhidi ya Ajax ya kule Uholanzi. Mwenyeji mpaka sasa ana pointi 4 pekee wakati mgeni wake akiwa na pointi 10 hadi sasa. Mara ya mwisho kukutana ilikuwa ni 2014 mechi ya kirafiki ambapo mechi hii Sociedad alichapika. Je leo hii atallipa kisasi?. Tengeneza jamvi hapa kwa ODDS 2.00 kwa 4.00.
Alhamisi ya EUROPA imekufikia sasa na maokoto ya kutosha. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Mechi nyingine ya maokoto ni hii ya OGC Nice dhidi ya Rangers ambao wanahitaji ushindi huu wa leo. Nice ana pointi 2 pekee kwenye michezo minne ambayo amecheza huku mgeni wake akiwa nafasi ya 10. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 1.95 kwa 3.90. Beti hapa.
Tottenham Hot spurs watakuwa na kibarua dhidi ya AS Roma, ambapo tofauti yao ni pointi 4 pekee huku mara ya mwisho kukutana, Roma aliondoka na ushindi. Je leo hii Ange na vijana wake wanaweza kulipa kisasi?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 1.68 kwa 4.60.
Anderletch atakuwa mwenyeji wa FC Porto ambapo tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 6 pekee. Mechi ya mwisho kukutana ilikuwa ni 2000 ambapo walitoka suluhu. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda Porto wakiwa na ODDS 1.99 kwa 4.10. Je wewe beti yako unaiweka wapi hapa.?. Jisajili hapa.
Pia mtanange mwingine ni huu AZ-Alkmaar dhidi ya Galatasaray ambaye alishinda mechi yake iliyopita. Mwenyeji pia aliibuka ushindi na leo hii anataka kupata ushindi mwingine nyumbani kwake dhidi ya klabu kutoka Uturuki. Mechi hii ina ODDS 3.15 kwa 2.20. Bashiri hapa.
Wakati Athletic Bilbao yeye atakiwasha dhidi ya If Elfsborg ambapo mechi ya mwisho wameshinda mechi moja na kupoteza mechi moja kwenye michezo minne ambayo wamecheza. Mwenyeji yeye ana pointi 10 kwenye michezo 4 aliyocheza. Anayepewa nafasi ya kushinda ni mwenyeji kwa ODDS 1.22 kwa 13. Suka jamvi hapa.
Baada ya kushinda mechi iliyopita, leo hii Besiktas Instanbull atamualikwa kwake Maccabi Tel Aviv ya kule Israel ambao wamepoteza mechi zote nne ambazo wamecheza hadi sasa. Je beti yako unampa nani leo pale Meridianbet?. 1.65 kwa 5.20 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
Vita nyingine kali itakuwa ni kati ya Qarabag FC dhidi ya Olympique Lyon ambapo tofauti ya pointi kati yao ni pointi 4 pekee. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 ndani ya Meridianbet. Ingia na ubashiri sasa.
Manchester United watakuwa Old Trafford kucheza dhidi ya Bodoe/Glimt kutoka kule Norway ambapo timu hizi zimetofautina pointi moja pekee. United ipo chini ya kocha mpya Amorim na hii ni mechi yake ya pili akiwa na United. Je atashinda leo nyumbani?. Beti mechi hii yenye ODDS 1.20 kwa 13.
Nao Frankfurt ya kule Ujerumani itakuwa ugenini dhidi ya Midtjylland kutoka kule Denmark ambao wapo nafasi ya 13 na mgeni yeye yupo nafasi ya 4 huku wakitofautiana pointi 3 pekee. 3.50 kwa 2.05 ndio ODDS za mechi hii. Jisajli hapa.