EWURA Yatangaza Bei Kikomo Ya Mafuta Kuanzia Leo
EWURA inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano, tarehe 4 Septemba 2024 saa 6:01 usiku.
Wafanyabiashara wa bidhaa za mafuta kwa rejareja na jumla wanatakiwa kuuza mafuta kwa bei zilizoidhinishwa.
Hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya mfanyabiashara yeyote atakayekiuka AGIZO hili.