EWURA Yatangaza bei Mpya ya Petroli na Dizeli kuanzia leo Oktoba 2, 2024
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo ya bidhaa za mafuta ya Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa hapa nchini zinazoanza kufanya kazi kuanzia leo, Jumatano ya Oktoba 02.2024 saa 06:01 usiku