The House of Favourite Newspapers

EWURA Yatangaza Bei Mpya za Mafuta ya Petroli na Dizeli

EWURA inatangaza Bei Kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli zitakazotumika hapa nchini kuanzia Jumatano ya tarehe 5 Februari, 2025, saa 6:01 usiku.

Wafanyabiashara wa rejareja na jumla wanatakiwa kuuza mafuta kwa bei zilizoidhinishwa na EWURA pekee na yeyote atakayekiuka AGIZO hili atachukuliwa hatua kali kwa mujibu wa sheria.

SALEH JEMBE – ”PRESHA INAWASUMBUA – VIONGOZI HAWAMTAKI – WACHEZAJI WAMEFANYA KAMPENI AONDOKE?”…