The House of Favourite Newspapers

EXCLUSIVE: BABA Diamond Afunguka Madai ya ‘Uchawi’ wa Mobeto – Video

 

Baba wa Msanii wa Bondo Fleva Naseeb Abdul ‘Diamond’ Plantnumz amesema ishu ambayo inaendelea katika mitandao kuhusiana na mzazi mwenzake na Diamond kumuendea kwa Mganga ili amuoe kama ipo si kitu kizuri kinaweza kuwafanya wasiendelee kama familia.

 

Baba Diamond amesema kama kweli Hamisa amefanya kitu hicho hakipaswi kufanywa katika jamii na kuwataka kama familia kuishi kwa mapendo na kuacha maneno.

 

VIDEO: MSIKIE MZEE ABDUL AKIFUNGUKA

Comments are closed.