The House of Favourite Newspapers

Exclusive: Carina – “Mwili Umedhoofika Naona Aibu Kuomba Msaada Nahitaji Mifuko Kuokoa Uhai Wangu” – Video

0

Global Tv imefanya mahojiano kwa mara nyingine na Msanii wa Bongo muvi Carina Hussein nyumbani kwao Magomeni jijini Dar es Salaam na kuona kuwa hali ya afya yake inazidi kuwa mbaya.

“Nateseka sana lakini kubwa naona aibu mno kuomba msaada kila mara,ila sina jinsi maana mfuko mmoja wa PTN,unauzwa shilingi 250,000 kwangu mimi ni fedha nyingi maana hatuna tena hata kitu cha kuuza ili fedha zinisaidie” alisema Carina.

Kama unataka kumsaidia Carina, chochote hata nusu ya hela ya kununua mfuko huo wa PTN, waweza kumsaidia kupitia namba;

0769_990045 M-PESA
Carolinhawa Hussein Ebrahim bounin.

0789_095858 Airtel money
FATUMA MIKIDADI maruzuku..

0712_595858 tigopesa
Carolinhawa Hussein Ebrahim bounin

Habari @imeldamtema

Leave A Reply