The House of Favourite Newspapers

EXCLUSIVE : Dada wa MUNA Amwaga Mboga, Kweli ana Mtoto – Video

DADA wa mjasiriamali Rose Nungu ‘Muna Love’ anaejulikana kwa jina la Eva Nungu amefunguka kuhusiana na ukweli anaoufahamu juu ya madai ya mtoto mwingine wa Muna anayeishi kijijini Moshi aitwaye Bryan.

 

Eva amesema mtoto huyo alizaliwa mwaka 2005 katika hospitali ya Palestina iliyoko Sinza na baba wa mtoto huyo anatambulika kwa jina la Fredy. Amesema Muna aache kuigiza kwani ameokoka hivyo anapaswa kuwa mkweli.

Comments are closed.