The House of Favourite Newspapers

EXCLUSIVE: DIAMOND Hakunialika, Asijisahau Sana – Video

BAADA ya staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kufanya sherehe ya kumbukumbu ya Siku yake ya kuzaliwa na kutoa misaada kwa wakazi wa Tandale, watoto, vijana na akina mama wenye matatizo, baba mzazi wa msanii huyo, Mzee Abdul Jumaa, amefunguka kuhusu kutengwa na mwanaye huyo na kutoalikwa kabisa kwenye shughuli hiyo.

 

Sasa Fuatilia Exclusive Interview hii Baba Diamond amefunguka A-Z kuhusiana na ishu hii.

Comments are closed.