The House of Favourite Newspapers

#Exclusive: Dipper Rato Staa Anayetrendi Arusha – “Sivai Braa Inabana, Nilishawahi Kupata Tuzo”- Video

0

Msanii wa vichekesho wa kipindi cha Kitimtim, ambaye pia ni mfanyabiashara jijini Arusha, @dipper_rato amesema kuwa anapenda nguo kubwa kwasababu maisha ya jijini humo hayahitaji kubanabana hata kidogo, na hata ukivaa sidiria bado unaonekana kubanwa, hivyo hiyo nguo kwake haina nafasi kabisa.

Leave A Reply