Exclusive: Esha Buheti Apiga Kwenye Mshono – “Shilole Kazoea Kupiga Mabwana Zake – Video
Msanii wa sanaa ya Uigizaji na Mpishi Esha Buheti @esha.s.buheti amefanya mahojiano na Global TV na kufunguka kuhusiana na suala la Usiku wa Tuzo zilizotolewa mwishoni mwa Juma lililopita.
Esha ameeleza zaidi kuwa Msanii wa Muziki na Muigizaji nchini Shilole @officialshilole ametoa kiasi cha fedha ili aweze kununua tuzo hizo ambazo hakustahili kupewa.