#Exclusive: Faiza Ajibu Kutumia Dawa Za Kupata Mapacha – “Sugu Kanipa Mtoto Mzuri – Video

MSANII wa filamu nchini Tanzania, Faiza Ally amefunguka kuwa anampenda baba wa mwanaye Sasha, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ kwani amempa mtoto mzuri na kwamba japokuwa hauko naye, haina maana kwamba anamchukia.

Faiza ameongeza kuwa anawapenda pia baba wa watoto wake wote na kueleza kuwa baba wa wanaye mapacha anaotarajiwa kujifungua hivi karibuni, hawana makubaliano yoyote ya kufunga ndoa.
Faiza ameyasema hao alipokuwa akifanya mahojiano na Global TV, kwenye hafla yake fupi ya maandalizi ya kujifungua (baby shower) iliyofanyika Julai 7, 2024