EXCLUSIVE: Hali wa MUME wa Amber Rutty Baada ya Kuanguka Mahakamani! – VIDEO

Siku Chache baada ya mume wa Mwanamuziki, Amber Rutty, aitwaye Davil adondoke katika viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu walipokwenda kwa ajili ya kusikiliza kesi yao ya kusambaza video za ngono mitandaoni.

Global TV ikataka kujua hali yake baada ya kudondoka mahakamani na kukimbizwa hospitali ambapo ameelezea hali yake kinachomsumbua.

Loading...

Toa comment