#Exclusive: Haya Ndiyo Maisha Halisi Ya Loveness – Anavaa Khanga Na Kupika Dikodiko – “Mimi Ni Pisi”
Loveness Tarimo ni mwanamke mtunisha misuli anayeshikilia nafasi ya Miss Fitness Tanzania na Miss Fitness East Afrika.
Global TV imefanya naye Exclusive Interview ambapo amefunguka changamoto mbalimbali anazokutana nazo kutokana na mwonekano wake na kusisitiza kwamba yeye ni mwanamke na ana jinsia ya kike.