The House of Favourite Newspapers

#Exclusive: Isha Mashauzi Awalipua Shilole Na Esha Buheti “Wote Hawajui Kupika”… Video

Kufuatia vita ya maneno inayoendelea kwa kasi mitandaoni kati ya mwanadada @officialshilole na @esha.s.buheti, mwanamuziki mkubwa wa Taarab ambaye naye anajihusisha na biashara ya uuzaji wa chakula akiwa na mgahawa wake, @Ishamashauzi ameingilia kati na kutoka ushauri wake.