The House of Favourite Newspapers

#Exclusive: Jiya -”Mimi Siyo Raia Wa India Ni Mtanzania Nina Kitambulisho -Nimepata Bahati Kuigiza”


Msanii wa Bongo Muvi Jiya amefanya mahojiano na Global Tv na kusema kuwa yeye ni mtanzania na wala siyo raia wa India kama wengi wanavyodhani.

Jiya ameendelea kuiambia Global Tv kuwa ana furaha kubwa kuigiza na mastaa wa Bongo Muvi kwani ilikuwa ndoto yake ya siku nyingi.