The House of Favourite Newspapers

EXCLUSIVE: KOCHA SIMBA AELEZA A – Z MECHI VS YANGA – VIDEO

Makocha wa Timu zote mbili ambao ni watani wa jadi, Simba na Yanga wamesema wamejiandaa vyema kukabiliana katika mechi yao ya jumamosi ya watani wa jadi Ligi Kuu Tanzania Bara itakayopigwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 

Akizungumza baada ya mazoezi ya Simba, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Patrick Aussems amesema wanaenda kuchuana na Yanga kama wanavyocheza na timu nyingine huku wakiwa na mikakati ya kuibuka na pointi tatu.

 

Simba na Yanga zinakutana kesho kutwa February 16 mwaka huu katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam huku Yanga wakitarajiwa kurudi kesho Dar es salaam baada ya kuweka kambi mjini Morogoro na wapinzani wao Simba ambao wapo jijini Dar es Salaam.

Comments are closed.