#Exclusive: Kwa Unyonge Dulla Makabila Akiri Bado Anampenda Zaylissa “Siwezi Msema Vibaya Ni Mzuri” – Video
Global Tv imefanya mahojiano na Dulla makabila @dullamakabila na kusema kuwa hawezi kumsema au kumchafua vibaya aliyekuwa mke wake Zaylissa @zaylissa_ kwani ni mwanamke mzuri na ana kila sifa ya kuitwa mke wa mtu ila kwa sasa wametangana kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao wenyewe wawili.