The House of Favourite Newspapers

EXCLUSIVE: MANARA Kuzindua PERFUME “Hata YANGA Watatumia” – VIDEO

Afisa Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara, amesema anakusudia kutengeneza na kuzindua Perfume maalum kwa ajili ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Maalbino) itakayoitwa ‘De Le Boss”

Manara ambaye naye pia ni Mlemavu wa ngozi amesema pia siku atakayozinduza losheni hizo atazindua pia Haji Manara Foundation itakayokuwa inashughulika na kusaidia walemavu wa aina hiyo.

 

Comments are closed.