Exclusive: Mizengo Pinda Anavyopiga Mkwanja Shambani! – Video

WAKATI wastaafu mbalimbali nchini, hasa baadhi ya viongozi waliowahi kushika nyazfa tofauti tofauti nchini kuhamia nchi za nje na kufungua biashara za mahoteli na miradi ya mashirika makubwa,

waziri mkuu mstaafu, Mizengo Kayanza Peter Pinda, amekuwa tofauti.

Global TV Online, imefunga safari mpaka hadi mkoani Dodoma na kushuhudia jinsi kiongozi huyo alivyoamua kuhamishia maisha yake shambani na kuwekeza kwenye kilimo na ufugaji wa kisasa ambao umempa mafanikio makubwa kwa jamii kuliko watu walivyotegemea.

Tazama Video Hii Kujionea Mengi


Loading...

Toa comment