EXCLUSIVE: MOBETO Afunguka Kumroga DIAMOND – Video
Mwanamitindo maarufu Bongo ambaye kwa sasa amejitumbukiza kwenye muziki, Hamisa Mobeto, amepiga stori na Global TV na kufunguka kuhusiana na sauti zilizokuwa zikisambaa mitandaoni akisikika akiongea na Mtu anayedaiwa kuwa ni Mganga kwa dhumuni la kutaka Mzazi mwenziye, Diamond Platnumz, arogwe ili aweze kumuoa.
Comments are closed.