The House of Favourite Newspapers

#Exclusive Na Zee Cute Ajilipua – ”Sitaki Kuolewa Labda Nifosiwe, Mimi Siyo Mtu Wa Mapenzi”- Video

0


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Zee Cute @zee_cuty ambaye kwa sasa anafanya poa kwenye Tamthiliya ya #Dosari inayoruka Dstv, amefunguka mengi kuhusu maisha yake binafsi na maisha ya kisanii katika mahojiano aliyoyafanya na Global TV.

Anakwambia hajaolewa na hatarajii kwani anataka kuwa free!

Leave A Reply