Exclusive: Nicole wa Harmonize Afunguka Kulala Naye Siku 3 – Video
Exclusive interview na Video Vixen wa Harmonize, aitwaye Nicole Joyberry. Hii ni baada ya kuibuka kwa varangati na baby wa Harmo, Sarah kufuatia muuza nyago huyo kudaiwa kubanjuka na Harmonize.
Nini ambacho Nicole amekijibu?